Home Uncategorized MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUAPISHWA LEO

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUAPISHWA LEO

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan ataapishwa leo Machi 19, 2021 kushika madara ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania hafla hiyo itafanyika katika ikulu ya Dar es salaam kuanzia majira ya saa 4:00  asubuhi hii.