Home Mchanganyiko BREAKING NEWS:RAIS MAGUFULI AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS:RAIS MAGUFULI AFARIKI DUNIA

0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena jijini Dar Es Salaam.

Taarifa ya Msiba huo Mkubwa wa kitaifa imetolewaa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan aambaye amesema Rais Magufuli amefariki March 17,2o21 kwa maradhi ya Moyo.

Taifa litakuwa katika maombolezo ya siku 14,ametangaza Makamu wa Rais #Pumzika kwa Amani Rais wetu Magufuli