Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UTALIU NA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UTALIU NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa yao ya utekelezaji wa maagizi ya Rais aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Fatma Mbarouk Khamis na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu (Picha na Ikulu)

WAKUU wa Idara na Taasisi za Wizaya ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar wakifuatilia mkutano wa uwasililishwa wa Taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo ya Rais kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, yakiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Fatma Mabrouk, mkutano huo ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Fatma Mbarouk Khamis na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Abdalla Mohammed, akitowa maelezo wa Taasisi yake wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Bi. Fatma Mbarouk Khamis, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)