Home Mchanganyiko KAMATI YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI MOROGORO

KAMATI YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI MOROGORO

0

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Mheshimiwa Moshi Kakoso
akizungumza wakati Kamati hiyo ilipomtembelea Mkuu wa Mkoa wa Morogoro
Mhe. Loata Ole Sanaree (mbele) ofisini kwake,   Kamati ya Miundombinu
ipo katika ziara  mikoa ya Morogoro na Dar es Salaam kwa ajili ya
kutembelea miradi mbalimbali iliyo chini yake.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (sekta ya ujenzi) Elius
Mwakalinga akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu wakati Kamati hiyo ilipotembelea Taasisi ya Teknolojia ya
Ujenzi (ICoT) Morogoro, wa kwanza ni Mwenyekiti wa Kamati Mheshimiwa
Moshi Kakoso na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Anne Kilango.
(sekta ya ujenzi) Elius Mwakalinga
PICHA NA OFISI YA BUNGE.