Home Michezo BARCELONA YATUPWA NJE NA PSG LIGI YA MABINGWA ULAYA

BARCELONA YATUPWA NJE NA PSG LIGI YA MABINGWA ULAYA

0

TIMU ya Paris Saint-Germain jana imelazimishwa sare ya 1-1 na Barcelona katika mchezo wa marudiano wa Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris.
Kylian Mbappe alianza kuwafungia PSG kwa penalti dakika ya 30 kabla ya Lionel Messi kuisawazishia Barca dakika ya saba baadaye.
PSG inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-2 kufuata ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa kwanza Februari 16 Hispania PICHA ZAIDI SOMA HAPA