Meneja wa Akiba Commercial Bank PLC (ACB), Tawi la Kijitonyama, Joachim Mowo (kulia), akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya futa vicoba endelevu ambae pia ni mteja wa Benki hiyo Hanipha Tarimo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo benki hiyo iliandaa hafla fupi kwa ajili ya kuwashukuru wateja wake. Hafla hiyo imefanyika katika ofisi za benki ya ACB Tawi la Kijitonyama. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo, Dora Saria.
Biashara
March 9, 2021
AKIBA COMMERCIAL BANK YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
By joseph
March 9, 2021 | 1:50 pm

Related Stories
View all
Biashara
1 week ago
BENKI YA USHIRIKA YAONESHA UKUAJI MKUBWA KWA MWAKA, YAONGEZA UJUMUISHI WA KIFEDHA
Na John Bukuku, Dar es Salaam Benki ya Ushirika Tanzania (Coop Bank) imeendelea kuonyesha mafanikio makubwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tangu kuanzishwa…
Biashara
1 week ago
BELARUS YAKARIBISHWA KUWEKEZA TANZANIA KUKUZA SEKTA YA VIWANDA
Tanzania imeendelea kufungua milango ya uwekezaji kwa kuonesha fursa mbalimbali zilizopo, hususan katika sekta ya viwanda, kwa lengo la kuongeza uzalishaji na ajira nchini.…



