Home Michezo WANAWAKE WIZARA YA HABARI WAFANYA MAZOEZI KUIMARISHA AFYA

WANAWAKE WIZARA YA HABARI WAFANYA MAZOEZI KUIMARISHA AFYA

0

Wanawake Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwa wanafanya mazoezi ya viungo kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Diniani Machi 8, 2021.

………………………………………………………………………………..

Wanawake Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wafanya mazoezi ya viungo pamoja na wanawake wenzao ikiwa ni kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani Machi 08, 2021.

Awali tarehe 05, machi 2021, Wanawake hao walitembelea Kituo cha kulelea watoto Tumaini kilichopo kata ya Miuji Jijini Dodoma na kutoa vifaa mbalimbali na zawadi kwa watoto hao.

Kauli mbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni “Wanawake katika Uongozi, chachu kufikia Dunia yenye usawa”