Home Michezo SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA AL MERRIKH YA SUDAN

SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA AL MERRIKH YA SUDAN

0

********************************

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wameilazimisha sare ya bila ya kufungana klabu ya Al-merrikh ya Sudani katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani afrika katika raundi ya tatu.

Kwa matokeo hayo simba imefikisha pointi 7 kundi A hivyo kuendelea kujichimbia kileleni mwa kundi hilo.