Home Michezo SIMBA QUEEN YAINYUKA 3-0 YANGA PRINCESS

SIMBA QUEEN YAINYUKA 3-0 YANGA PRINCESS

0

*****************************

NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Simba Queens imebamiza klabu ya Yanga Princess mabao 3-0 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba yaliwekwa kimyani na Mwanahamisi 30’ ,Opa 43’P na  Joell 50’. Yanga Princess ni mechi yao ya kwanza kupokea kichapo katika msimu huu ambapo mpaka sasa anaendelea kuongoza ligi .