Home Mchanganyiko M-PESA NA LATRA WAJA NA TIKETI MTANDAO,HUDUMA ITAKAYOWEZESHA ABIRIA KULIPIA NAULI KUPITIA...

M-PESA NA LATRA WAJA NA TIKETI MTANDAO,HUDUMA ITAKAYOWEZESHA ABIRIA KULIPIA NAULI KUPITIA SIMUYA KIGANJANI

0

Mkuu wa Idara ya M-Pesa Biashara, Happiness Shuma akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa huduma ya Tiketi Mtandao, itakayowezesha abiria wa mabasi  ya masafa marefu kulipia nauli zao kielektroniki kupitia simu zao za mkononi kupitia App ya Tiketi Mtandao na pia kwenye menyu ya M-Pesa. Mkutano huo uliandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini  (LATRA).