Home Michezo YANGA KUIFUATA TANZANIA PRISONS KOMBE LA AZAM SPORT FEDERATION CUP

YANGA KUIFUATA TANZANIA PRISONS KOMBE LA AZAM SPORT FEDERATION CUP

0

Baada ya kusawazisha dakika za jioni na kutoka sare ya kufungana bao 1-1 katika uwanja wa Sumbawanga mechi ya Ligi Kuu Mabingwa wa Kihistoria Tanzania bara timu ya Yanga itarudi tena kucheza na Tanzania Prisons huku Simba wakibaki uwanja wa Benjaman Mkapa kucheza na Kagera SugarĀ  katika Hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).