Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU NIDA, JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU NIDA, JIJINI DAR ES SALAAM

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.