Home Michezo NGORONGORO HEROES YAANZA VIBAYA AFCON U-20, YACHAPWA 4-0 DHIDI YA GHANA

NGORONGORO HEROES YAANZA VIBAYA AFCON U-20, YACHAPWA 4-0 DHIDI YA GHANA

0

**************************************

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20 leo imeshuka ndimbani katika michuano ya AFCON U-20 na kushuhudia ikilala kwa mabao 4-0 dhidi ya timu ya taifa ya Ghana.

Licha ya kipindi cha kwanza kucheza vizuri lakini waliambulia kipigo cha mabao 2-0 hadi kipindi cha kwanza kuisha.