Home Mchanganyiko MSAJILI WA JUMUIYA ZA KIJAMII WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI...

MSAJILI WA JUMUIYA ZA KIJAMII WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATOA SEMINA FUPI YA ZOEZI LA UHAKIKI WA TAASISI ZA KIDINI NA JUMUIYA ZA KIJAMII KANDA YA KASKAZINI MJINI MOSHI

0

Msajili wa Jumuiya za Kijamii Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa (Kulia picha ya kwanza) akiwasikiliza baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Kidini na Jumuiya za Kijamii waliohudhuria katika semina fupi kabla ya kuanza kwa Zoezi la Uhakiki wa Taasisi za Kidini na Jumuiya za Kijamii Kanda ya Kaskazini Mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro leo.

Baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Kidini na Jumuiya za Kijamii wakiwa katika Semina fupi, iliyokuwa ikitolewa na Msajili wa Jumuiya za Kijamii Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa (Hayupo pichani) kabla ya kuanza kwa Zoezi la Uhakiki wa Taasisi za Kidini na Jumuiya za Kijamii Kanda ya Kaskazini Mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro leo.