Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI ASALIMIANA NA CHIFU KINGALU MWANABANZI WA 15 BAADA YA...

RAIS DKT MAGUFULI ASALIMIANA NA CHIFU KINGALU MWANABANZI WA 15 BAADA YA KUZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAZAO JAMII YA MIKUNDE

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kioongozi wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu
Mwanabanzi wa 15 mara baada ya kuzindua kiwanda cha kuchakata mazao
jamii ya mikunde cha Mahashree Agro processing Tanzania limited  mjini
Morogoro leo Ijumaa Februari 12, 2021

PICHA NA  IKULU