Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI ASIKILIZA CHANGAMOTO ZINAZOWAANDAMA WAFANYABIASHARA KATIKA SOKO KUU LA MOROIGORO...

RAIS DKT MAGUFULI ASIKILIZA CHANGAMOTO ZINAZOWAANDAMA WAFANYABIASHARA KATIKA SOKO KUU LA MOROIGORO ALILOLIPA JINA LA SOKO LA CHIFU KINGARU

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza changamoto mbalimbali wanaziokumbana nazo wafanyabishara
katika Soko Kuu la mji wa Morogoro alilplizindua na kulipa jina la
Soko Kuu la Chifu Kingaru Alhamisi Febeuari 11, 2021

PICHA NA IKULU