Home Mchanganyiko UWASILISHWAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TBS KWA KAMATI YA...

UWASILISHWAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TBS KWA KAMATI YA KUDUMU YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA.

0

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali wakati wa uwasilishaji taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021. 

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuph Ngenya akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya TBS kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akijibu hoja mbalimbali zinazohusu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Askofu Josephat Gwajima akichangia baadhi ya hoja zinazohusu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. David Mwakiposa Kihenzile akiongoza kikao cha uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.

Picha zote na Eliud Rwechungura.