Home Mchanganyiko KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA...

KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA UTALII JIJINI DODOMA

0

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akifafanua kuhusu kazi, muundo na majukumu ya Wizara yake kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kumbi za Bunge jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu Waziri wa Ardhi Mary Makondo na Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Angeline Mabula.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini

Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakati akifafanua kuhusu kazi, muundo na majukumu ya Wizara yake katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.