Home Mchanganyiko HESLB YAFANYA UCHAGUZI WA KATIBU MSAIDIZI BARAZA LA WAFANYAKAZI

HESLB YAFANYA UCHAGUZI WA KATIBU MSAIDIZI BARAZA LA WAFANYAKAZI

0

Afisa kutoka Idara ya Kazi, Ofsi ya Waziri Mkuu, Bi. Emiliana Rweyendela (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) katika kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi HESLB linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakifuatilia kwa umakini kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi HESLB linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro.

Afisa kutoka Idara ya Kazi, Ofsi ya Waziri Mkuu, Bi. Emiliana Rweyendera (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) katika kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi HESLB linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakifuatilia hoja mbalimbali zilizotolewa katika kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi HESLB linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro.

Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi…………(RAAWU) akichangia mada katika kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi HESLB linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro.

AFisa Rasilimali Watu kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Bi. Mamsanga Nguzo pamoja na Afisa kutoka Idara ya Kazi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Emiliana Rweyendela  wakifuatilia kwa karibu zoezi la kuhesabu kura wakati wa uchaguzi wa kujaza nafasi ya Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, John Felix na George Mziray wakibadilishana mawazo wakati wa kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi HESLB linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro.

Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi katika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Brighton Mtugani akizungumza na wajumbe wa mkutano huo wakati wa wa kikao cha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi HESLB linalotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Morogoro.

(PICHA NA BODI YA MIKOPO- HESLB)