Home Mchanganyiko DKT.YAHYA MZEE AMKABIDHI KAZI KATIBU KIONGOZI MHANDISI ZENA SAID IKULU JIJINI ZANZIBAR

DKT.YAHYA MZEE AMKABIDHI KAZI KATIBU KIONGOZI MHANDISI ZENA SAID IKULU JIJINI ZANZIBAR

0

 Katibu Mkuu   wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Mstaafu Dkt. Yahya Mzee akifuatana  na  Katibu Mkuu Mpya wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said Ofisini  baada ya makabidhiano kazi   kufuatia uteuzi uliofanyika  tr 01january 2021.[Picha na Ikulu] 02/01/2021.Katibu Mkuu  wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Mstaafu Dkt. Yahya Mzee akimkabidhi vitendea kazi Katibu Mkuu  wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi  Mhandisi Zena Ahmed Said Ofisini kwake Ikulu Jijini Zanzibar hatua hiyo kufuatia uteuzi uliofanyika  tr 01january 2021.[Picha na Ikulu] 02/01/2021.