Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA TRENI HOSPITALI YA RUFAA YA...

WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA TRENI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA LEO KUWAJULIA HALI

0

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wapili kushoto), akiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo, kutembelea Majeruhi wa Ajali ya Treni B17 na Kichwa cha Treni 9004 iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Treni hiyo ilikuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Tabora, Katavi (Mpanda), Kigoma na Mwanza ikiwa na abiria wapatao 720

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akisaini Kitabu cha Wageni waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo, kutembelea Majeruhi wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene  akiwajulia hali baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene, amewajulia hali Majeruhi hao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo tarehe 03 Januari, 2021.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akiwajulia hali baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene, amewajulia hali Majeruhi hao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo tarehe 03 Januari, 2021.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akiwajulia hali baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene, amewajulia hali Majeruhi hao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo tarehe 03 Januari, 2021.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wakwanza kushoto) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Ibenzi Ernest (Wakwanza kulia) alipokuwa akipokea Taarifa ya Maendeleo ya Majeruhi 66 na Waliolazwa 32  wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Treni hiyo ilikuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Tabora, Katavi (Mpanda), Kigoma na Mwanza ikiwa na abiria wapatao 720. Watatu kutoka kulia ni Mkurugenzi Huduma za Uuguzi  wa Hospitali hiyo, Dkt. Stanley Mahundo. Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wakwanza kulia) akiwaaga baadhi ya ndugu na jamaa waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo tarehe 03 Januari, 2021 alipotembelea Majeruhi wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wapili kutoka kushoto) akiagana na baadhi ya Wakurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo, baada ya kumaliza kuwajulia hali baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene, amewajulia hali Majeruhi hao Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Januari, 2021.