Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK HUSSEIN ALI MWINYI AMEWATEMBELEA WANAMICHEZO HOSPITAL YA MNAZI...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK HUSSEIN ALI MWINYI AMEWATEMBELEA WANAMICHEZO HOSPITAL YA MNAZI WALIOPATA AJALI LEO ASUBUHI.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar baada ya kuwatembelea na kuwafariji Wanamichezo wa Kundi la MUWAFAKI waliopata ajali ya kuvamiwa na gari wakati wakiwa katika mazoezi  barabara ya migombani Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akimfariji mmoja kati ya Wanamichezo waliopata ajali ya kugongwa na gari katika barabara ya Migombani wakiwa katika mazoezi, akiwa amelazwa katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwafariji Wanamichezo waliopata ajali ya kuvamiwa na gari  katika barabara ya migombani wakati wakiwa katika mazoezi Ndg. Sastenesi Amasi na Ali Abdulla, waliolzwa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)