2020
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
CCM YAAHIDI KUENDELEA KUHESHIMU MAAMUZI YA UMMA
********************************** 02 Januari , 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za…
AJALI : GARI LAUNGUA MOTO NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU WA MALI MKOANI MBEYA
Mnamo tarehe 02.01.2020 majira ya saa 16:05 jioni huko eneo la Meta-Igurusi katika barabara kuu ya Mbeya/Njombe, Gari lenye namba za usajili T.…
MGOGORO WA MCHANGA WA ALMASI MWADUI WAIBUKA SHINYANGA, MADIWANI WAZIMIWA SPIKA KWENYE MKUTANO
Diwani wa kata ya Maganzo, Lwinzi Mbalu Kidiga ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madiwani wa kata zinazozunguka mgodi wa Mwadui akishangaa baada ya…
PROF. MUHONGO KUONGOZA HARAMBEE KUWANUSURU WANAFUNZI 616 KUKOSA KUJIUNGA SEKONDARI MUSOMA VIJIJINI
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo amepanga kuongoza harambee ya kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa 13 katika shule zenye…
KATIBU CHADEMA ATIMKIA CCM
Aliyekuwa Katibu mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Bahi Yuda Mbata,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza kukihama…
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KUGHUSHI NYARAKA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na…
CCM YAAHIDI SIASA SAFI MWAKA 2020.
*********************************** Na Silvia Mchuruza. Kagera. Katibu wa chama cha mapinduzi taifa Dkt.Bashiru Ally amesema kuwa chama cha mapinduzi kinaahidi siasa safi kwa watanzania kutokana…