Home Michezo SIMBA YAINYUKA IHEFU FC MABAO 4-0, KWENYE DIMBA LA MKAPA

SIMBA YAINYUKA IHEFU FC MABAO 4-0, KWENYE DIMBA LA MKAPA

0

*****************************************

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara Simba imeibamiza Ihefu mabao 4-0 katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam na kuzidi kuwafukuzia watani wao wa jadi Yanga katika vita ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo.

Magoli ya Simba yalifungwa na Hussein dakika 9 ya mchezo pamoja na Kagere aliyefunga mabao 2 mnamo dakika ya 15 na 40. Goli la mwisho likiwekwa kimyani na Mshambuliaji Mugalu dakika 84 na mpira kumalizaka Simba kuibuka mshindi wa mabao 4-0.