Spika wa Bunge, Job Ndugai akisalimiana na Mwenyekiti wa taasisi ya habari development association, Bernard James wakati alipowasili katika siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akipanda mti wakati wa siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kisasa wakisoma risala yao mbele ya mgeni rasmi Spika wa Bunge, Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati wa siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na viongozi kutoka taasisi ya habari development association, wafanyakazi wa soko kuu la Job Ndugai na wageni waalikwa wakati wa siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wanne kushoto mbele) katika picha ya pamoja na viongozi wa wa taasisi ya habari development association, wawakilishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Jiji na viongozi wa soko kuu la Job Ndugai wakati wa siku ya upandaji miti katika soko kuu la Job Ndugai Jijini Dodoma. Kushoto mbele ni Mwenyekiti wa taasisi ya habari development association, Ndg. Bernard James
Muonekano wa jengo la soko kuu la Job Ndugai ambapo siku ya upandaji miti ulifanyika katika soko hilo Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)