*********************************
Na Fadhila Kizigo (Sport lady)
Kwanini Police Tanzania wamefungwa na Yanga?, Imani yako siku zote hujengwa na matendo yako usijisifu unaimani na ukasahau kujitathimini matendo yako.
Cover Space aina ya magoli waliofungwa tunasema hawakucover nafasi na kuruhusu mara zote wapinzani wafike kwenye eneo lao na kuwa huru kufanya chochote bila kughasiwa.
Balance number idadi ya mabeki wa police Tanzania wanaposhambuliwa na wapinzani wao inapungua kulingana na idadi ya wapinzani na hii inatokana na kutokuelewana kwa mabeki na kujikuta namba inapungua ukitofautisha na wapinzani wao.
Control kwa maana ya ball watcher man watcher hawakuwa sawa kwenye eneo lao la ulinzi Concetration kwenye eneo la ulinzi kulikosekana kukaba mtu na mtu kukaba nafasi na kumruhusu mara zote mpinzani kucheza kwenye eneo lao na makosa haya yalifanyika kwenye dk 45 za kipindi cha pili cha mchezo.
Ubora wa wachezaji wa Simba kama Cloutus Chama kwa asilimia kubwa ulichangia kupata matokeo ya goli mbili dhidi ya police Tanzania itoshe kusema kuwa huyu ndiye professional player mda wowote anakupa kile ambacho unahitaji na kwa wakati sahihi dk 45 za kipindi cha kwanza Police Tanzania wamefanikiwa kiujumla wamejitahidi kupunguza idadi kubwa ya magoli kuna watu walipigwa wiki na Simba.