Kiungo wa kimataifa wa Uganda, Taddeo Lwanga akisaini mkataba wa kujiunga na Simba SC leo Dar es Salaam kutoka Tanta FC ya Ligi Kuu ya Misri baada ya awali kuzichrzea, Express FC, SCVilla na Vipers za kwao, Kampala 