Home Mchanganyiko NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, RAMADHANI...

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, RAMADHANI KAILIMA, AONGOZA KIKAO CHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI KWA MENEJIMENTI YA FUNGU 51.

0

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akisisitiza jambo katika Kikao cha Taarifa za Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Meza Kuu) akizungumza na Wakuu wa idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo  ya Ndani ya Nchi katika Kikao cha Taarifa za Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma.

Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hii, Ramadhani Kailima (hayupo pichani) alipokuwa  akizungumza katika Kikao cha Taarifa ya Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51. Kikao hicho kimefayika leo, katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma.

Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hii, Ramadhani Kailima (hayupo pichani) alipokuwa  akizungumza katika Kikao cha Taarifa ya Utekelezaji kwa Menejimenti ya Fungu 51. Kikao hicho kimefayika katika Ofisi za Wizara hii Mtumba, Jijini Dodoma leo.