Home Siasa CHAMA CHA TADEA YASHAURI ACT WAZALENDO KUHESHIMU KATIBA

CHAMA CHA TADEA YASHAURI ACT WAZALENDO KUHESHIMU KATIBA

0

Chama cha Tadea kimekishauri ACT wazalendo kiheshimu  katiba ya zanzibar ya mwaka 198 na kupeleka jina la Makamo wa kwanza wa Rais bila kupuuzia mstakwa ya katiba.
Kimesema katiba ya zanzibar ndiyo inayotaka iwepo serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) na wala si utashi wa viongozi kuzuia wawakikishi kutoapa.
Naibu katibu Mkuu wa Ada Tadea Rashid Yussuf Mchanga  aameeleza hayo na kudema kitendo cha kutoheshimu  katiba licha ya ukikaji wa katibs pia uvunjaji wa haki za binadamu.
Mchengs amesema ACT Wazalendo kinapaswa kuheshimu maamuzi  ya wananchi  waliopiga kura ya maoni hatimstr kuiweka  madaraksni serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar.
Amesema  wananchi ndio  wapiga kura hivyo mstokeo ya na kupata viti vinne waliochagus wnahitaji kuwakilishwa ,kutetewa na kuheshimiwa.
Mchenga amesema aidha  wananchi  ikiwa wamechagua idadi kwa  wingi viti  au uchache wake ,bado  wananchi hao hawapaswi kupotezewa uwakilishi wao.. 
Amesema viongozi wa kisiasa hawan jukumu  la kuwachagulia wananchi aina ya uwakilishi kinyume na  matakwa ya kidemokrasia  
Aidha Naibu huyo katibu  Mkuu amesemz chama cha siasa  kinaposhinda m viti vingi au kupsta vichache ni maamuzi yatokansyo na wananchi na  si utashi wa viongozi.
Amesema hata pale inapotokea wananchi kupigwa kura za maruhani  huwa ni maamuzi yao yasioingiliwa na yeyote. 
Katiba  ya Zanzibar inamtaka Rais Dk Hussein Ali Mwinyi kuunda serikali ya umoja  wa kitaifa na  kukishirikisha chama kilichopata asilimia 10 kama masharti ya katiba ya zanzibar inayotaka.