Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Molde FK, mabao ya Nicolas Pepe dakika ya 50, Reiss Nelson dakika ya 55 na Folarin Balogun dakika ya 83 usiku wa jana Uwanja wa Aker Stadion, Molde. Arsenal inafikisha pointi 12 baada ya ushindi huo kufuatia kucheza mechi nne na kuendelea kuongoza Kundi B kwa pointi sita zaidi ya Molde na Rapid Wien, huku Dundalk, timu nyingine kundini ikiwa haina pointi PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAICHAPA 3-0 MOLDE FK NA KUTINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE
By Alex Sonna
November 27, 2020 | 6:57 am

Related Stories
View all
Michezo
20 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
3 days ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
