MABAO ya Josip Ilicic dakika ya 60 na Robin Gosens dakika ya 64 yameipa Atalanta ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Liverpool usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield. Pamoja na kupoteza mchezo huo, Liverpool inaendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi zake tisa, mbili zaidi ya Ajax inayofuatia ikiizidi wastani wa mabao tu Atalanta, wakati Midtjylland inashika mkia haina pointi baada ya timu zote kucheza mechi nneĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ATALANTA YAIZAMISHA 2-0 LIVERPOOL PALE PALE ANFIELD LIGI YA MABINGWA ULAYA
By Alex Sonna
November 26, 2020 | 5:59 am

Related Stories
View all
Michezo
21 hours ago
TRA DODOMA YAADHIMISHA MIAKA 30 KWA MATEMBEZI YA HISANI, BONANZA
DODOMA, 27 Juni 2026 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma imefanya Matembezi ya Hisani pamoja na Bonanza la Michezo ikiwa ni sehemu…
Michezo
1 day ago
SENEGAL YAFUFUA MATUMAINI YA KUTINGA HATUA YA 32 BORA KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Senegal imefufua matumaini ya kutinga hatua ya 32 Bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Iraq mabao 5-0…
