Baadhi ya Waislamu na Wananchi wakiwa katika  Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar kabla ya kumswalia   Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai ambae mazishi yake yamefanyi9ka leo Kijijini  kwao Shakani Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waislamu wengine kubeba jeneza la Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai kabla ya kumswalia katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini kwao  Shakani Wilaya ya Magharibi”B”.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na baadhi ya Waislamu  katika kumswalia Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini   kwao  Shakani Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) amejumuika na baadhi ya Waislamu  kwa kuitikia dua iliyoombwa baada ya kumswalia Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini   kwao  Shakani Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu