Kinda wa miaka 20, Mnorway Erling Haaland akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao manne dakika za 47, 49, 62 na 79 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya wenyeji, Hertha Berlin kwenye mchezo wa Bundesliga jana Uwanja wa Olympia Jijini Berlin. Bao lingine la Borussia Dortmund lilifungwa na Raphael Guerreiro dakika ya 70, wakati ya Hertha Berlin yalifungwa na Matheus Cunha dakika ya 33 na Matheus Cunha kwa penalti dakika ya 79 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
HAALAND APIGA NNE BORUSSIA DORTMUND YAICHAPA 5-2 HERTHA BERLIN
By Alex Sonna
November 22, 2020 | 9:35 am

Related Stories
View all
Michezo
24 hours ago
HISPANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Argentina katika mchezo…
Michezo
2 days ago
ENGLAND YAIBUKA NAFASI YA 3 KOMBE LA DUNIA 2026, YICHAPA UFARANSA 6-4
Timu ya Taifa ya England imefanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Kombe la Dunia baada ya kuifunga Ufaransa mabao 6-4 katika mchezo wa…
