MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar  Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo
18/11/2020, (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika  katika Afisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)