Mshambuliaji chipukizi, Joe Willock akishangilia na Bukayo Saka baada ya kuifungia Arsenal bao la nne dakika ya 88 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Molde FC usiku wa jana Uwanja wa Emirates Jijini London kwenye mchezo wa Kundi B UEFA Europa League. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Kristoffer Haugen dakika ya 45 na ushei, Sheriff Sinyan dakika ya 62 wote wakijifunga na Nicolas Pepe dakika ya 69 kufuatia Molde FK kutangulia kwa bao la Martin Ellingsen dakika ya 22 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAZIDI KUWASHA MOTO UEFA EUROPA LEAGUE YAICHAPA 4-1 MOLDE FK
By Alex Sonna
November 6, 2020 | 8:43 am

Related Stories
View all
Michezo
1 day ago
SIMBA SC YAVUNA POINTI 3 MBELE YA SINGIDA
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2–1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara…
Michezo
1 day ago
MHE.SILLO: MANYARA TANZANITE MARATHON YALENGA KUOKOA MAISHA YA WATOTO NJITI
Mbio za Hisani za Manyara Tanzanite Marathon zimefanyika leo mkoani Manyara, zikihudhuriwa na watu mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya nchi pamoja na viongozi mbalimbali,…
