Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee (CHADEMA) mwenye kura 32,524.