Taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhusu hali ya ulinzi na usalama leo tarehe 28.10.2020 siku ya kupigia kura kuanzia asubuhi hadi saa 09:00 Alasiri. Namna tulivyojipanga katika ulinzi na usalama wa raia na mali zao na hasa kwa wale wanaokwenda kupiga kura.
Ulinzi umeimarishwa maeneo yote.