Home Siasa NUKUU MUHIMU ZA DKT. BASHIRU ALLY KATIBU MKUU WA CCM AKIWA NJIANI...

NUKUU MUHIMU ZA DKT. BASHIRU ALLY KATIBU MKUU WA CCM AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA NA MGOMBEA WA URAIS DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

0

……………………………………………………………………………………….

“Kitambulisho chako cha NIDA kitatumika, leseni ya udereva inatumika, hati ya kusafiria inatumika kama umepoteza kitambulisho chako cha kupigia kura, lakinitulisha piga kura mapema asubuhi turudi nyumbani kwa amani na usalama.”

“Rais Magufuli anahitaji timu ya viongozi wenzake, lazima tumuunganishe na madiwani wa CCM, lazima tumuunganishe na wabunge wa CCM hao madiwani ndio wanaunda baraza la maendeleo la Kata”

“Wapinzani wetu mnawajua, vikao vikinoga wao wanakimbia vikao, mijadala ikinoga wanaweka midomo plasta, ikitokea dharura hata mbuzi tu akiingia bungeni wanatoka, dawa yao ni kuwanyima kura, mkisha wanyima kura mbadala wao ni madiwani wa CCM, wabunge wa CCM na jembe letu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.”