Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI TUNDURU

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI TUNDURU

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye eneo la Uwanja wa Ndege wa Tunduru, Oktoba 26, 2020.