Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI NANYUMBU

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI NANYUMBU

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri  Kuu ya Taifa ya CM, Kassim Majaliwa akizungumza na  mgombea Ubunge wa CCM  katika Jimbo la Nanyumbu, Yahya Mhata  (kushoto), mgombea Udiwani wa CCM katika Kata ya Kilimanihewa, Thabiti Geugeu (wa pili kushoto) na Mgombea Udiwani wa CCM katika Kata ya Mangaka, Halima  Mchoma katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Stendi ya Mabasi ya Mangaka wilayani Nanyumbu, Oktoba 26, 2020

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri  Kuu ya Taifa ya CM, Kassim Majaliwa akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025,  mgombea Ubunge wa CCM  katika Jimbo la Nanyumbu, Yahya Mhata  (kushoto), mgombea Udiwani wa CCM katika Kata ya Kilimanihewa, Thabiti Geugeu (wa pili kushoto) na Mgombea Udiwani wa CCM kwenye Kata ya Mangaka, Halima  Mchoma katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Stendi ya Mabasi ya Mangaka wilayani Nanyumbu, Oktoba 26, 2020

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM , Kassim Majaliwa  akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Stendi ya Mabasi, Mangaka wilayani Nanyumbu, Oktoba 26, 2020