Home Mchanganyiko Wasimamizi Vituo vya Kupigia Kura Jimbo la Shinyanga Wapigwa Msasa

Wasimamizi Vituo vya Kupigia Kura Jimbo la Shinyanga Wapigwa Msasa

0

Msimamizi Msadizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Shinyanga Mjini, Bw. Rajab Massanche akizungumza wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.Kutoka kushoto ni Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Lubaga, Bw. Lucas Venance na Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Shinyanga, Bw. Fabian Kamoga (katikati).

Afisa Uchaguzi wa Manispaa ya Shinyanga, Bw.Charles Kafutila akielezea jambo wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.

Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Kata za Chamaguha na Kizumbi, Bi. Jesca Kipingu na Bw. Mwombeki Gadios wakitoa maelezo ya namna ya kufunga sanduku la kupigia kura wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.

 Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Ibinzamata, Bw. Victor Kajuna akitoa maelezo ya moja ya kifaa kinachotumika katika kituo cha kupigia kura wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wakifuatilia mada wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo. (Na Mpiga Picha wetu, Shinyanga)

Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Shinyanga, Bw. Fabian Kamoga akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.