gombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Karatu katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha kwa ajili ya kuwahutubia wananchi leo tarehe 24 Oktoba 2020. Wananchi wa Karatu wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akifurahia hotuba ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia wananchi wa Mto wa Mbu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya Kofia Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mto wa Mbu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akimpigia saluti Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mto wa Mbu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.