Home Uncategorized RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA BAGAMOYO AKIWA NJIANI KUELEKEA...

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA BAGAMOYO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI TANGA

0

Mgombea Urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Bagamoyo katika uwanja wa Mwanakalenge wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020.

Mgombea Urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wananchi wa Bagamoyo katika uwanja wa Mwanakalenge wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Tanga leo Jumatatu Oktoba 19,2020.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano huo na kumuombea kura mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Mwanakalenge mjini Bagamoyo.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano huo na kumuombea kura mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Mwanakalenge mjini Bagamoyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete wakati akizungumza katika mkutano huo na kumuombea kura mkutano uliofanyika  kwenye uwanja wa Mwanakalenge mjini Bagamoyo.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humphrey Polepole akitoa ratiba ya mkutano huo kabla ya mgombea kuhutubia.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Bw. Ramadhan Maneno katika mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa Mwanakalenge mjini Bagamoyo.

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Mtopa  akiomba dua kabnla Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara wa kiampeni mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Jumatatu Oktoba 19, 2020

Baadhi ya wagombea ubunge wa CCM mkoa wa Pwani wakiitikia dua iliyokuwa ikisomwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Mtopa.

Baadhi ya wakuu wa wilaya na makatibu tawala wa wilaya wakiwa katika mkutano huo.

Msanii Twenty Pacent akifanya vitu vyake jukwaani katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mwanakalenge mjini Bagamoyo.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Bw. Ramadhan Maneno akimkaribisha Rais Dk. John Pombe Magufuli ili kuwahutubia wananchi wa Bagamoyo.

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM UWT mama Gaudensia Kabaka kulia na Humphrey Polepole wakiwa katika mkutano huo.

Picha mbalimbali zikionesha maelfu ya wananchi wa Bagamoyo wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli.