Home Siasa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe...

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Bagamoyo Mkoa wa Pwani

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Bagamoyo katika Mkutano wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais uliofanyika katika uwanja wa Mwanakelenge Bagamoyo mkoani Pwani leo tarehe 19 Oktoba 2020.Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga makofi wakati akisikiliza hotuba ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais uliofanyika katika uwanja wa Mwanakelenge Bagamoyo mkoani Pwani leo tarehe 19 Oktoba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kuwahutubia wananchi katika muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo tarehe 19 Oktoba 2020.