Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO SEKTA BINAFSI

MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO SEKTA BINAFSI

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia  mkutano wa Sekta Binafsi kwa ajili ya kumpongeza  Rais  wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt. John  Magufuli  kwa kazi nzuri na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chake cha miaka mitano ya Uongozi wake kuanzia 2015/2020, katika  ukumbi wa kimataifa wa mikutano  wa Julius Nyerere Jjijini Dar es salaam leo Octoba 18,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)