Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AWATEMBELEA MAJERUHI KATIKA HOSPITALI YA MICHEWENI PEMBA.

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AWATEMBELEA MAJERUHI KATIKA HOSPITALI YA MICHEWENI PEMBA.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akiangalia picha ya  Xray ya mmoja wa majeruhi wa
tukio la kupigwa lililotokea katika maeneo ya Kwake Wilaya ya Micheweni
Pemba Ndg.Abdalla Khamis Mbarouk, alipofika katika hospitali ya
Micheweni  leo 17/10/2020 na (kulia kwa Rais) Daktari Dhamana wa
Hospitali ya Micheweni Pemba Dr.Mbwana Shoka Salim.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa
Matukio ya kupigwa yaliotokea katika Kijiji cha Kwale Wilaya ya
Micheweni Pemba Ndg. Khatib Said Khatib  aliyepata jeraha katika sehemu
ya tumbo, wakati akitowa maelezo Daktari Dhamana wa Hospitali ya
Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akimfariji  mmoja wa wahanga wa matukio ya kupigwa
katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad,
alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba kuwajulia hali zao leo
17-10-2020. Na kuwafariji. (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Dhamana wa Hospitali ya
Micheweni Pemba Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo ya mmoja wa
majeruhi  ya Wahanga wa Matukio ya kupingwa yaliotokea katika eneo la
Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba,Ndg.Yassir Hemed Ali, alipofika katika
Hospitali ya Micheweni  leo kuwatembelea na kuwafariji.
17/10/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akimfariji mhanga wa matukio ya kupigwa yaliotokea
katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad,
alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba, kuwatembelea majeruhi leo
17/10/2020. Akipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali ya
Micheweni .Dr. Mbwana Shoka Salim.(Picha na Ikulu)