Home Siasa MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MWERA ATETA NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MWERA ATETA NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI

0

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mwera, Zahor Mohammed Haji, akizungumza na Mabalozi wa Nyumba kumi wa Chama cha Mapinduzi CCM, katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Mfenesini mjini Unguja Zanzibar leo Okt 17/2020, ikiwa ni muendelezo wa elimu ya kupiga kura kuelekea uchaguzi mkuu wa Okt 28, mwaka huu. (Picha na Muhidin Sufiani)