Add caption |
James akiwaombea kura kwa wananchi wagombea wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Madukani jijini Dodoma.
James akikumbatiana kwa furaha na Mavunde baada ya kumaliza kuwanadi
Mgombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (kulia), akimnadi kwa wananchi, Mgombea Udiwani wa Kata ya Madukani, Pro. Mwamfupe.
Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni katika Kata ya Madukani.
Wafuasi wa CCM wakishangilia baada ya kufurahishwa na kampeni za kueleweka za Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James akiwaombea kura wagombea wa CCM kwa kuelezea wasifu wao na utendaji kazi wao mzuri.
Kwa uhondo zaidi sikiliza kwa makini alichokizungumza Kheri James katika kampeni hizo kupitia Clip hii ya Video hapa chini…..