Home Mchanganyiko BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI...

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT.BASHIRU

0

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiongozana na Balozi wa Marekani Tanzania Dkt. Donald J. Wright ambaye amefika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amempokea Balozi wa Marekani Tanzania Dkt. Donald J. Wright ambaye amefika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam kwa mazungumza katika masuala mbalimbali. Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa wakiagana na Balozi wa Marekani Tanzania Dkt. Donald J. Wright ambaye amefika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam kwa mazungumza katika masuala mbalimbali.