Home Siasa WANANCHI WA JIMBO LA SONGWE WAKUSANYIKA KWA WINGI KUMSIKILIZA MHE.SAMIA SULUHU

WANANCHI WA JIMBO LA SONGWE WAKUSANYIKA KWA WINGI KUMSIKILIZA MHE.SAMIA SULUHU

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Songwe alipowasili katika Viwanja vya Mkwajuni Wilayani Songwe kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Oktoba 14,2020.                          

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Songwe wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Viwanja vya Mkwajuni Wilayani Songwe  leo Oktoba 14,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la  Songwe   Mhe.  Philipo Augustino Mulugo kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 14,2020 katika Viwanja vya Mkwajuni Wilayani Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Songwe katika Viwanja wa Mkwajuni Wilayani Songwe leo Oktoba 14,2020.